TAZAMA VIDEO: SUA inazalisha Mbegu za Samaki za Kutosha


Hivi karibuni, Shirika la Utangazaji Tanzania TBC wamefanya kipindi maalum kinachoangazia shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

Katika makala hii utamsikia Dr. Ismail Suleiman na Stela Genge wakielezea shughuli mbalimbali zinazofanyika SUA hususan Utafiti na ukuzaji wa Samaki pamoja na viumbe maji

SUA

Like & Share this page