TAZAMA VIDEO: Maabara SUA yawezesha Utafiti wa Kisasa


Hivi karibuni, Shirika la Utangazaji Tanzania TBC wamefanya kipindi maalum kinachoangazia shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

Katika makala hii utamsikia Professor Christopher Kasanga akielezea shughuli mbalimbali zinazofanyika SUA hususan kwenye maabara ya kisasa ya utafiti wa Kisayansi wa Vinasaba (Molecular Biology and Biotechnology Lab)

SUA

Like & Share this page