MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO SUA-09-06-2020

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wa ana kwa ana wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)

Matokeo-Mchujo-SUA-09-06-2020.pdf 

Share this page