MAONYESHO YA TEKNOLOJIA ZA UFUGAJI NA SAYANSI ZA TIBA: TAREHE 10-12 DISEMBA-2020

Jumuia ya madaktari wa wanyama kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta binafsi, taasisi za utafiti na huduma za mifugo ikiwa ni pamoja na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Ndaki ya Tiba za Wanyama na Sayansi za Tiba wanawakaribisha wananchi wote kwenye maonyesho ya teknolojia za ufugaji wa mifugo na huduma kwa wafugaji.

Tarehe ya kuanza: Maonyesho yataanza tarehe 10 hadi 12 Disemba, 2020

Muda: Kuanzia  saa 2 na nusu asubuhi hadi saa 11 jioni kila siku.

Kiingilio: Hakuna kiingilio, wananchi wote wanaruhusiwa kuingia bure. Pia huduma mbalimbali ikiwemo bidhaa zenye punguzo maalum.  Ushauri toka kwa wataalam utatolewa bure.

Mahali: Viwanja vya Ofisi za Mifugo (TVLA), Barabara ya Afrika Mashariki, Arusha

---------------------------------------------------------------------------------------------------

KONGAMANO LA KISAYANSI

Maonyesho haya yatafanyika sambamba na kongamano la kisayansi la mwaka ambalo litashirikisha wataalam wa sekta mbalimbali zinazohudumia mifugo, na wananchi wote kwa jumla na vyombo vya habari.

Kongamano hili litafanyika ukumbi wa kimataifa wa AICC karibu na yanapofanyika maonyesho.

Jisajili sasa ili kuhakikisha ushiriki wako kwenye kongamano hilo, taarifa kuhusu usajili zinapatikana hapa.

-----------------------------------------------------------------------

Tanzania Veterinary Association in collaboration with private stake holders, research institutions and livestock service providers is inviting the general public to the exhibitions for the livestock technologies, products and services.

Date: 10-12, December, 2020

Time: 8.30 - 17.00

Entrance: Free

Venue: Viwanja vya Mifugo (TVLA), Barabara ya Afrika Mashariki, Arusha

Information for some of the exhibitors available at the end of this page

TVA SCIENTIFIC CONFERENCE

The exhibitions will be conducted in parallel with TVA Scientific Conference 2020 that will take place at Arusha Interenational Conference Centre (AICC), located just few meters from the exhibitions ground.

Register to book your place. Registration information available here

For Information about exhibitors please visit: www.tva.or.tz

SUA​​​​​​​

Share this page